Breaking News

REAL LOVE 💘.......SEHEMU 32


REAL LOVE 💘.......SEHEMU 32
ILIPOISHIA.......
Akili ikajipa maswali msululu huku nikiwa sijui jibu hata moja.......
ENDELEA......
Nilimuona akinitazama na kutabasamu kisha akaingia ndani,sikuweza kumfata kwan ndani walijaa wanawake ikanibidi nikakae kwenye mkeka huku nikitafakari taratbu nikijaribu kuunganisha matukio,kwakweli nilishaanza kuhisi namna ya uwepo wa nguvu ambazo szo za kawaida kwa msichana, nilikaa nikiangaz huku na kule kuangalia kama atatoka nje lakin, hakutoka tena, kadir muda ulivyozidi kwenda ndivyo watu walivyozidi kupungua yan mpaka kufikia jioni saa kumi na mbili walibaki watu wachache sana, haswa haswa majirani tuu kwan marehemu suma hakuwa na ndugu zaid ya sis na watu wanayemfahamu,kutokana uchovu wangu nilijikuta nasinzia sinzia kwenye mkeka, lkn usingizi haukufanikiwa kunipitia baada ya kumuona dada yule niliyekutana nae kwenye basi ambaye had muda huo simuelewi elewi kwa vitu vyake,alikuja mpaka nilipolala mim,
"Sancho habar yako "
"Salama tuu... "
"Unanikumbuka "
"Wew cndoo.... "
"Habiba I mean, naomba unisindikize "
Nilijikuta nainuka bila kubisha, tukaanza kuondoka kuelekea kituoni,
"Pole sana kwa kumpoteza ndugu yako"
"Daah nishapoa ndo mipango ya mungu, "
"Sancho mbona hujamtaarifu leyl@th kama umefiwa? "
Kusema kweli swali lake lilinitoa hamu ya kutembea nikajihisi kama naonewa ,
Nikamtazama bila kumjibu kitu,
"Kilimchomkuta rafiki yako suma kilikuwa kinakuhusu wewe ujue......,
Sancho unabahati sana, unakitu kinalinda maisha yako so kuwa makini sana, "
"Kwann unasema hvyo, mi ckuelewi ujue habiba "
"Utanielewa taratbu usijali wangu acha mim niwahi, "
Sikuwa na neno zaid ya kumtazama yeye ambaye alikua anapanda daladala na kuondoka, moyoni nikaanza kujawa na hofu huku maneno yake yalijirudia rudia kichwan mwang,
"Kwan yule nani Mbona simsomi vizur, yan kila kitu anaelewa elewa,yan mim ndo nilitakiwa nife au anamaanisha nni yule "nilijiuliza bila tumaini la kupata majibu, taratbu nikawa narudi nyumbani,nikiwa napita njia ya kuelekea kwetu nikashtukia nikiitwa,
"Sancho.. we sancho... "kugeuka alikua Honestly,
"Vipi Mbona hvyo lakini"
"Vipi tena Honestly unanishtua unaniita hai hai km hvyo "
"Mbona unapita unaongea peke yako unaenda mpaka barabaran unarudi, jmn una matatizo gan mpnz,suma katangulia nasi twafatia wangu usiwazie kiasi hicho., aliongea huku akinishika mkono kana mimi nimepagawa vile,,
"Oya Honestly, ebu niachie we vipi, kisa umeona nimesindikiza mwanamke bas roho inakuuma apo, mtu aliyechanganyikiwa unamjua ww, "
"Sancho Jaman kila mtu kakuona ulivyokua unazungumza peke yako kama chizi "
"Acha wivu wako mi nilimsindikiza habi....... "kabla sijasema nilichokua nataka kukisema nikashtukia kitu kizito kimenipiga kichwan na kunifanya nipoteze kabisa fahamu,********************
nilishtushwa na mlio wa sauti ya mziki uliopigwa kwa sauti ya juu sana, na kwakweli wimbo uliniingia mpaka moyoni kwani hua naupenda sana, uliitwa Real Love alioimba massari, taratbu nikaanza kuinuka na kuanza kufatiliza unavyoimba huku nikiupa ubongo nafasi ya kufikiria pale nilipo, kusema ukwel jumba lilikua kubwa sana yan pale nilipokua sebleni kumejaa kila samani ya kupendeza sana yan kwa muonekano wa eneo lile niliweza kigundua kua hii nyumba ni ya kifahari sana, nikaanza kuinuka na taratbu nikawa nashangaa shangaa vitu vya pale,Nilisikia mlango ukifunguliwa, nikajikuta nageuka haraka haraka kumtazama ni nani yule, alikua ni leyl@th akitabasamu kwa furaha kidogo,
"Mpnz wangu uyo "
"Naam "
"Nimekumic sana "
Alikuja na kuanza kunikumbatia,
"Ngoja nikuandalie chai mpnz Sawa "
"Sawa, "aliondoka kuelekea sehemu ambayo nadhani ndiyo jikoni, nikabaki peke angu huku nikiendelea kuurudia mziki uliokua ukiimbwa japo nilimung'unya maneno sababu ni wa kiingereza, lakini pia akili yangu ilifanya kazi ya kukumbuka siku ya msiba wa Ismail uliishia wap, nikavuta kumbu kumbu kwa tabu sana huku nikifatiliza hatua tofauti za matukio, lakin mwisho kabisa nilifanikiwa kukumbuka nilipokua nabishana na Honestly na nilipoteza fahamu, kwakweli kufikiria hilo lilinipa tabu na nikajikuta mapigo ya moyo yananidunda taratbu, nikaanza kupata hofu juu ya mim kufika pale kwa leyl@th,
"Bby chakula "
Sauti ya leyl@th ilikatisha kile ninachokifikiria kwa muda ule,
"Sawa nakuja, "nikainuka kuelekea aliko, nilishangaa kuona vyakula vingi vingi vilivyojaza meza lakin nilishangaa kuona havijachukua muda kuandaliwa,
"Karbu sana mpnz wangu "
"Asante sana, hvi vyote umepika muda huu 😐"
"Hapana mpnz muda tuu "alinijibu huku akininawisha mikono ,nami nikanawa na kuanza kula, chakula kilikua kitamu kila nilipopeleka tonge nililiona dogo, nilikila kuliko uwezo wangu wa kawaida, lakin pia leyl@th hakugusa hata kuonja ila sikujali sana tokana na njaa nilokua nayo,
"Bby ngoja nikaoge, "
"Sikumjibu zaid ya kumpa ishara tuu ,akaondoka nikala mpaka nikahakikisha utumbo umekaa sawa nikanawa mikono vizur nikaanza kukusanya vyombo,
"Bby acha tuu 😊"
Aliongea leyl@th aliyekuwa akija upande wangu kavalia taulo fupi sana lililomwonyesha sawa mapaja yake meupe na shepu yake haikusita kujitokeza kila alipopiga hatua za kunifata, akaja na kuanza kuninyonya ndimi kwa mbwembwe, sikutaka kujiweka nyuma kwani hata nilipomtazama nilikwishaanza kumtamani, nilishika kiuno chake taratbu na kuanza kumnyonya lips zake lain zilizokua hazikauki Mate yaliyozipendezesha zaid, nikaondoa taulo na kumuacha akiwa amebaki na kufuli inayoitwa bikini yenye vijikanda vya pembeni na sehemu ya ikulu yake inamaterial kama net, kadiri nilivyomchezea ndivyo mizuka ilivyozidi kunipanda, nikaanza kuvua suruali yangu na kubaki na boxer nikashangaa kuona namvua chupi ananikatalia kwa ishara ya kidole,
"Bby vip bhna "
"San.. cho.. kimb.. ii.. aaa "aliongea kwa sauti iliyochanganyika yake na ya besi na aliongea kama vile alikua amekabwa, mwili ukasisimka kwa woga na akili ikakumbuka siku ya kwanza, nikamshangaa macho yakizidi kubadilika kua mekundu sana, hakika mapigo ya moyo yalikua kasi sana kama feni za ndege..... ItaEndelEaaaaa
USIKOSE REAL LOVE KUTOKA WWW.DABEST4G.BLOGSPOT.COM

No comments