REAL LOVE 💘.......SEHEMU 31
REAL LOVE
ILIPOISHIA..........
Moyo ukaanza kunienda mbio kwani nakumbuka yule dada sikumpa namba yngu zaid ya mim kuandika namba yake bila kuisevu ,.......
ENDELEA..........
Nikaanza kuhisi jasho la hofu kwani hali haikuwa ya kawaida kwa muda ule kuwe hakuna watu, nikajikuta nakazana kuwahi nyumbani, hakika sikukawia kufika nikawa nawaza nin kinaendelea kwani leyl@th yupoje mbona simuelewi elewi,
"Sancho... "
Nilisikia nikiitwa na mama nikainuka na kuanza kuelekea chumbani kwake, nikafika nikamkuta kachoka yan akionyesha alikua amelala,
"Vip leyl@th ameondoka
"Ndiyo tena syo muda mrefu sana ,nmetoka kumsindikiza muda huu huu,
"Haya mi napumzika "
"Haya mama "
"Nikatoka nikihisi kama sijielewi elewi nikawa nahisi kizungu zungu nikaelekea kitandani nikajitupa, usingizi haukua mbali kunichokua, nilishtuka baada ya kusikia kelele za watu nje wakiitia mwizi nilipaswa kutoka kwenda kutazama mwizi gani anaiba mitaa yetu ya watu wenye roho mbaya,nilipotoka nusu nizimie kuona kundi la watu weng sana wakimkimbiza suma ambaye alionekana kuchoka sana, mapigo ya moyo yalianza kwenda mbio sana kwan nilijikuta nakimbia bila kujali ilimradi niwahi kwan alionekana kuanguka na watu walikwishaanza kumshambulia kwa mawe, mapanga, visu mwenye gongo,tofali had nilipofika mim, suma alikwishaishiwa nguvu,
"Oyaaaa Jaman huyo syo mwiz wakubwa....
Nilimshuhudia suma akikata roho kwa macho yangu huku miguu ikitapa tapa kama mtu aliyejinyonga,
"Oya kang'oka...
"Kang'oka... aaah qmmamae msala wauni...
********************
Ilikua jumamosi siku ya msiba wa rafiki yangu kipenz Ismail nilivalia shati jeusi alilonipatia Honestly,
Msiba uliongozwa kwa sheria zote na hatua zote za dini yetu ya kiislamu, tulipomaliza kuzika nikawa nimerudi nyumbani kwenda kukaa kupumzika kama,nilistaajabu kumuona yule dada nilikua nimepanda nae basi na alinipigia cm kwa jina alijiita Habiba, kumuona akishughulika shughulika pale nyumbani, akili ikabipa maswali msululu huku nikiwa sijui jibu hata moja........ItaEndelEaaaaa
USIKOSE REAL LOVE KUTOKA WWW.DABEST4G.BLOGSPOT.COM

No comments