REAL LOVE 💘....SEHEMU 2 ( LOVE STORY Tamu na ya Kusisimua)
REAL LOVE
💘....SEHEMU 2
ILIPOISHIA.....
...hakika Ckuamini macho yangu baada ya kumkuta dada yule wa kiarabu aliyenipa chupa yake pale kwenye miwa akiwa hajitambui na sehemu yake ya paji la uso likiwa linavuja damu......
ENDELEA......
haraka nikajitahidi kuufungua mlango uliokuwa umekunjamana ukionekana dhahir umegongwa vibaya,nilitumia nguvu nying hadi kufanikiwa kuufungua mlango ule, kitu cha kwanza nilimgusa mapigo yake ya moyo ambayo yalikua yanadunda kwa mbali sana, wazo la kumuwahisha hospital lilinijia haraka sana nikajikuta namtoa kwenye gari ile na kumnyanyua kwenye bega langu na kuanza kumuwahisha hospital ya karbu iliyoko magomeni,
"Oya njoeni tusaidiane kumbeba huyu bado anahema, "niliomba msaada kwa watu waliokuwa Kama watazamaji tuu,
"We ela ya hospital unayoo "
Wachache waliropoka, japo ckujali nikawaza nikakumbuka mfukoni nina shilingi alfu moja, ile niliyoiokota asubuhi na shling mia tano ambayo nilifanikiwa kunywa chai bila kulipa,
Nilisogea mbele kidogo huku nikiwa nimembeba hajitambui dada yule, ckuwa na jinsi zaid ya kuitoa sh.alfu moja mia tano yang kwa kusimamisha bajaj ili niweze kumuwahisha dada yule,..
"Oya vipi "
"Fresh tu mwanang mnaenda wapi "
"Ebhana tuwahishe hospital huyu dada apate matibabu, nina buku jero tuu Kaka ang"
"Kapata ajali pale cyo? "
Aliuliza suka yule huku akiiwasha bajaj yake,
"Yaah kagonganaje cjui mwenyewe ckuona tukio, Sema tupitie na police tukachukue Pf3 babu dakika sifuli tuu, "
"Poa mzaz "
Tulifika police napo walionyesha ushirikiano wao ipasavyo wakatukatia R.B kisha tukaondoka kuelekea hospital ya magomeni ambapo pia tulipokelewa haraka na watu wa dharura wakamchukua na kumuweka kwenye kitanda kinachotembea haraka na kuanza kumuwahisha wodini, nami ckutaka kupoteza muda nikalipa ela ile ya bajaj na kuwahi kuelekea kule yule mgonjwa wang alkua akipelekwa, kufika wodini nilisimamishwa na daktar ambaye aliniashiria nisubiri sehemu ya nje, nami ilinibidi kufanya hivyo, yalipita masaa 3 bila kuongeleshwa na madaktari waliokua wanaingia na kutoka, kwakwel nilipata faraja kwani madaktari walionyesha moyo wa dhati sana katika kufanya kila waliwezalo wakihakikisha wanamponya mgonjwa wang ambaye hadi muda huo skujua aliitwa nan, baada ya muda kidogo alitoka daktar mmoja wa kiume aliyekua anatabasam huku akija nilipokaa mimi,
"Vp daktar hali ya dadaang "
"Usiwe na hofu mgonjwa anaendlea vizur kwa sasa kwan ajali ilimpelekea mshtuko na pia maumivu makali sehemu za kichwan yalitopelekea kupoteza kumbukumbu kabisa,... "
"Duuh "nilijikuta naguna huku ubongo wang ukianza kutoa maswali meng mfululizo ambayo hakuna hata moja lililofanikiwa kupata jibu, "asa huyu kapoteza kumbukumbu itakuaje,maana cjui hata anaitwa nan, cjui anakaa wap, Mbona huu msala Kama kuingia choo cha watoto alafu unakuta mapoti,
"Sasa doctor itakuaje ..yan kumbukumbu zake haziwez kurud kabisa..."
"Kumbukumbu zake znaweza kurud na sisi Kama madaktari tunajitahidi kufanya kila liwezekanalo ili kumbukumbu zake ziweze kurud, lakin pia Wew ni nani yake?!?? "Swali la daktar lilinipa wakati mgumu kujtambulisha na sikuwa na jinsi zaid ya kumsimulia kuanzia pale kwenye miwa had mwisho,
"Duuh kumbe Wew cyo ndugu yake, lakin sasa itabidi uwe ndugu yake kwa hili kwan lazma apate mtu wa karbu wa kumpigisha story na kumuulza maswali machache kuhusu Maisha yake, na kumfariji ili kuhakikisha anarudisha kumbukumbu zake, "
"Sawa doctor nimekuelewa, "
"Haya wacha tuendlee na shughuli yetu Wew nenda ufanye mpango wa chakula, "
"Sawa doctor asante sana "niliinuka baada ya kuagana na daktar yule mwenye moyo na kuipenda KAZI yake,ckupoteza muda moja kwa moja ilinibidi niwahi nyumbani Tandale, kwa kupita njia za mkato ninazozijua mie mpaka saa 9 na nusu mchana nilikua nmeshafika nyumbani, moja kwa moja nikaingia ndan kuangalia Kama kuna akiba ya unga, lakin moyo ukanisuta,
"Mmmh mgonjwa atakula ugali kweli jaman!!!? "
Ngoja nipike uji maana unga wenyewe upo kidogo, nilikoleza moto haraka haraka kupitia vipande vya vifuu nikafanikiwa kuuwasha mkaa ambao ulichanganyika na chenga nying, nikabandka sufuria ndogo ya maji kisha nikatia viunga vichache kwa ajili ya kupata uji mwepesi utakaomfaa mgonjwa, nikaelekea kumtazama mamaang kipenz kwan toka nifike skuenda kumtazama chumban kwake,
"Mama shikamoo "
Aliitka kwa kuinua kichwa na ndivyo tunavyowasiliana na mamaang kila siku,
"Unajiskia njaa mama eee "
Aliitika pia kudhihirisha njaa inamuuma,
"Haya usjal mamaang uji si utakunywa? "
Pia aliitika akimaanisha utakunywa, ninachompendea mamaang hajui kukataa vyakula,nilirud jikoni ambapo kuna tandabui weng na pilika pilika za panya, haraka nikatafuta ndimu nikaikata nikaiweka pembeni, chungu hakikukawia nikaona uji ukianza kuchemka,nilikoroga mara kadhaa huku nikingojea uive vzur, nikatia sukari ambayo ipo kwenye kikopo maalum, nikaweka na ndimu kipande kimoja, kisha nikangojea uchemke sawia huku nikiandaa chupa ya kubebea uji ule ambayo ni special kidogo na ni ya zamani sana, nilirud nikamimina uji kwenye chupa kisha uliobaki kwenye bakuli na mwengne uliobaki kwenye sufuria ulikua mchache sana,nikampelekea mama bakuli lake la uji taratibu nikaanza kumpoozea had ukapoa kisha nikamnywesha japo anaweza kunywa mwenyewe lakin nilijizoesha kumlisha mwenyewe hata mara chache kabla ya kumuacha ale mwenyewe,
"Haya mamaang mi natoka tena kdgo, eee "
Nikatoka kuufata uji wang niliounywa haraka haraka kisha nikaenda chooni kuoga ili hata nikienda hospital nionekane nina hadhi kidogo ya kumiliki mgonjwa Kama yule, bila kupoteza muda nikaoga haraka haraka kisha Nikatoka kutafuta nguo zenye muonekano kidogo, nikavaa haraka haraka nikaotoka na chupa ya uji kikombe na kijiko vilivyomo kwenye mfuko mmoja, ckutaka kupoteza muda nikaanza kupita njia zangu za mkato, kutoka Tandale kuelekea hospital ya Magomeni ilinibidi nipite boda ya pale ajali ilipotokea,, moja kwa moja nikaenda kwenye gari ambayo ni ya yule msichana japo watu waliizonga kila mtu akisema lake nikaingia kutazama chochote, wengi wao walinifahamu kuwa mimi ndiye niliyeondoka nae hivyo hawakuweza kunizuia nikatazama tazama ndan ya gari lakin sikuambulia kitu, nikapata wazo la kufungua droo ya SEHEMU za gari ndipo nikaambulia kitambulisho chenye picha yake, kuitazama kwa makini nikagundua ni bima ile,
"Daaah kumbe mchumba anaitwa Leyl@th, na hii bora itasave kwenye malipo ya hospital "
Nilijisemea kumoyo moyo huku nikitoka na kuanza kuendelea na safar ya kuelekea hospital ambayo ilitumia dakika Kama kumi na tano kufika,.. nilipoingia tu mlangoni nulikutana na daktar yule aliyenipokea muda namleta Leyl@th,
"Vp doctor hali ya mgonjwa?!! "
"Mgonjwa hajambo unaweza kumuona ila kumbukumbu zake Bado hazijarudi sawia,
"Sawa doctor "nilielekea kwenye wodi alitokuwepo Leyl@th, nikamkuta kakaa kitako akisapotiwa na mto akinitazama kwa jicho la ukali sana pindi nilipokua naingia...... itaEndEndE@
USIKOSE REAL LOVE KUTOKA KWA DABEST TZ
Post By: DabestTz

No comments