REAL LEOVE💘....SEHEMU 1 (+18) {Hadithi tamu na ya kusisimua Usikose LOVE STORY}
Ilikua ni siku ya jumaapili, cku ambayo kwangu niliiona ni nzuri tokea hapo asubuhi nilipokwenda kwenye mgahawa na kunywa chai na chapati bila kudaiwa, pia nilibahatika kiokota sh.alfu 1,barabaran nilipokuwa naelekea kwenye mishemishe zangu za kuokota makopo,....nilipokua napita njia na gunia langu lililojaa makopo mengi kiasi niliyofanikiwa kuyaokota kwa siku hyo, Nilitembea umbali mrefu bila kuchoka lakin kwangu lilikua ni jambo la kawaida Kwan tangia baba afariki kwenye ajali ya meli ya M.V bukoba, mama yangu alibaki mpweke sana na kitendo cha ndugu kutudhurumu mali kilimpelekea mama Yang kipenz kuparararize upande mmoja hivyo tangia nina miaka mi 5 niliishi kwa kuokota makopo na kucheza mpira ndiyo ilikua starehe yangu pekee katika Maisha yang Yale yaliyo magumu sana, mama yangu hakuwa na ndugu zaid ya kipenz marehemu baba,hvyo ilinilazimu kumlea mama Yang kwa tabu nying ambazo zlinigarimu hadi kuwa mdokoz mtaani,ili niweze kupata angalau chakula na kipenz mama yang ambaye tokea yalipotokea ya kutokea hakuweza kuongea,... nikiwa nasonga na safar yang icyo na njia maalum nilipitia kwenye kitolololi cha muuza mua ili niweze lupata japo ladha ya mua....
"Oya inakuaje kaka "
"Fresh vp dogo "
"Daaah Poa mua sh.ngap? "
"Muwa mfuko huu sh.500 huu. Buku "
"Duuh, Ebhana Kaka naomba vifundo bac na mim nipate kutikisa kidevu "
"Hahahah hvyo we chukua tuuu "
Nikawa najiokotea vifundo(sehemu ya maungio ya muwa )ambavyo hugaiwa bure Kwan ni Kama uchafu,..ilikuja gari aina ya Noah nyeupe new model iliyopaki pemben kidogo na muuza muwa,alishuka dada mmoja mrefu mwenye asili ya kiarabu aliyevalia kigauni chekundu kafupi na viatu virefu vlivyomlazimu atembee kimiss, alikuja pale kwenye kitololi cha kuuzia miwa huku kashika chupa ya maji baridi lakin maji yalikua yamebaki kidogo,nilojikuta nastopisha zoez lang la kuokota vifundo vyangu muwa akili yang ikahamia kwenye lile kopo alilolishika mrembo yule wa kiarabu,
"Habar zenu jaman "
"Aaah salama karibu sana "nilijkuta namkaribisha Kama mie ndiye mwenye biashara,
"Eti sorry hizi sugar cane sh.ngap "
"Hapa 500,na hizi 1000"
"Ooh bac naomba za alfu 10,"
Aliongea kwa mapozi ya mamiss ,moyon na akilin nilikua naiwazia sana ile chupa, nikajkuta najisemea kimoyo moyo "hamalizii maji yale mawili tuu aaah "
"Okee thenkx kwaherini "
"Hee anty samahani sana "
Nilijikuta nimeropoka baada ya kumuona dada yule akiwa anaaga,
"Bila samahan, "
"Yan... ipo hivii... yan "
Kwakwel maneno yalikua yananitoka toka nisikumbuke nilikua Nataka kuongea nin Kwan mara ya mwisho kuongea na msichana tofaut na mama ang nilishasahau,
"Ongea shida yako kaka"
"Yan..Daaah hyo chupa dadaang nilikua nashda nayo kwel yan.."
"Ooh never mind just take it "(ooh Ucjal chukua tuu ),aliniongelea lugha ambayo kwa haraka haraka nilielewa neno moja, lakin pia kitendo cha kuninyooshea ile chupa niliamin kabisa alilikubali ombi lang,
"Aa.. ahsante sana dadaang "
"Oky "
Akapanda gari akaondoka zake,
"Mzaz nakuona ulikua unambwela mbwela pale "alinitania muuza miwa
"Aah we c unaona toto Kama lile kuongea nalo inahitaj step, ukipepetuka tuu utaskia, kaogeeee
"Hahahah Kaka uoga tuu "
"Uoga wapi mzaz mtu mwenyewe luga anayotumia umeisikia kwanza, mara sorry, justi nin sjui, we ungeuweza mziki hule, yan pale unatulia Kama unaongea na rais eee "
"Hahahah amna yule dada yupo peace sana huwez amin kwao washua kwel lakin yeye anaroho nzuri yulee "
"Duuh Haya bwana nishasafisha nyota yang mwenzio kuongea na mtoto mzur wa kiarabu, na hii chupa ciiuz nimegair naenda kuiweka nyumbani iii "niliongea huku naondoka zang kuendelea na misafara yangu.
"Huo ulimbuken Hahahah "
"Haya niache na ulimbuken wang ",nilimaliza mtaa ule na kuanza kupita chochoro nazozijua mimi kuelekea magomeni,... nilishtuka kukuta watu weng wamezingira barabaran ambapo inaonekana kulikuwa na ajali imetokea, haraka haraka na mim nikajichanganya ili kwenda kushuhudia ili hata pakiwepo na cha kudokoa nichukue, ilikuwepo land cruza mkonge nje iliyogongana na Noah nyeupe Kama ile iliyosimama pale kwenye miwa, watu wakiwa wanazozana zozana huku mateja wakijifanya kuzuga zuga huku wakiiba spea zao, namim ckutaka kuwa nyuma nilisogea kwenye land cruzer ile ambayo nilimkuta dereva aliyeonekana kupoteza uhai wake kwenye ajali hiyo, niliangalia cha kuchukua lakin nilijua watu watakua wamesha wahi, haraka nikaenda kwenye Noah ambayo ilikua nyan'ga nyan'ga imepondeka sana, nilizunguka upande aliko dereva ili kuchkua hata cm,.. hakika sikuamini macho yangu baada ya kumkuta dada yule wa kiarabu aliyenipa chupa yake pale kwenye miwa akiwa hajitambui na sehemu yake ya paji la uso linavuja damu........ ItaEndEndE@
USIKOSE REAL LOVE KUTOKA KWA - DabestTz
Post By : Dabest Tz

No comments