Breaking News

REAL LOVE 💘......(+18)SEHEMU 9


REAL LOVE 💘......(+18)SEHEMU 9
ILIPOISHIA.....
"karibu sana ndugu yangu "
"Ahsante sana vip mgonjwa Wang yupo tayari maana ndo nmekuja kumchukua, "
"Haaa!!! Mbona alshakuja kuchukuliwa!!!! "
ENDELEA......
Moyo ulipata ganz nikajihisi nimekufa wakati nmesimama,niltaman kukaa chini lakin sikuweza na wala sijui kwann,
"Kachukuliwa na nan Doctor!!? "
Niliuliza kwa kufoka kidogo Kwan hasira nilihisi znapanda,....
"Walikuja wanawake wawili wa kiarabu yan huwatofautishi naye Kwan wamefanana sana, mmoja alijitambulisha ni dada yake na mwengne ni mama yake ambaye alkua anaongea kiarabu tu, "
"Vp yeye kawakumbuka?! "Niliuliza tena kwa shauku,
"Yeye Hapana hajaa... "
"Sasa mtamruhusu vip mtu kuchukuliwa na watu ambao hawakumleta, Mbona mnaleta mambo ya kisenge senge nyinyi ahh!!...."niliondoka kwa hasira sana nikamuacha daktar akiyatafakar maneno yangu, hakika siku hiyo nilikua nmezama kwenye dimbwi la mawazo meng sana hadi mama yangu kipenz nadhani alihisi kitu Kwan syo kawaida yangu kishinda ndan kwa siku nzima, moyon nilimlaumu sana daktar lakin wazo jengne likanijia jinsi "gan ningeish nae yule msichana " ,kwakwel moyo wangu ulishaanza kumpenda sana Leyl@th mwenye umbo zuri na la kumvutia kila mwanaume aliyekamilika, nilihitaj bas japo ajue Kama nampenda ,ila angenikubia Vip mim kabwela".....kila swali lililojitokeza kichwani mwang kwa muda huo nilijifariji kwa kujijibu mwenyewe japo ilikua ni ngumu sana kusahau Kwan nilijiona Kama nimeokota dhahabu alafu niliyempa anisafishie kaidondosha choon,..nilipiga moyo konde Kwan niliamini mim Kama Albino mwenye gundu matatizo hayaishi kwangu,....
Siku zkapita na maisha yakasonga Kwan zilipita wiki, mwez, miez mpaka nikasahau inshu ya Leyl@th, nikawa naendelea na mishe mishe zangu za kuokota makopo,katika pita pita zangu nikakutana na yule muuza miwa, kwa mbali Ikanibidi nimkimbilie ,
"Oyaa, oyaa, we miwa kutam "
"Ahaa inakuje mzaz,
"Kama kawa damu yangu "
"Vp unataka vifundo vyako nin?!! "
"Hahahah we msenge umenikariri uongo,Haya nipe vifundo vyangu, "
"We tafuta tafuta mwenyewe apo "
"Hahahah bald, Sema nini mwanang, "
"Enhe nin "
"Unamkumbuka yule manz aliyekuja kununua miwa sku ileeee!!? "
"Manz gan tena? "
"Mwanang una ubongo wa kuku hukumbuki siku ile tunapiga story huku nakula vifundo akaja dem "
"Anhaa unamsemea yule mwaarabu cjui mpemba...yule mpaka akakupa chupa ya maji "
"Swadaktaaaa!!!... "
"Ndo kafanyaje,? "
"Tulia Sasa nikupange, ile siku tunaachana apa nikapita pita zangu chocho to chocho nkatokea magomen Kama unaelekea mwembe chai hivi,nikakuta ajali pale magar yamevaana, asa katika kuangalia angalia sndo nikamkuta yule dem aliyetoka hapa na ile ile gari yake imegongeka vibaya dem mwenyewe hajitambui, "
"Duuh ikawaje ?"
"Ikawaje vip cndo uskilize, unaambiwa Mlatino nikaingia kati nikamchonyoa kwenye ile gar iloharibika haribka nikamuweka began, mpaka hospital "
"Duuh "
"Nyoko nn "
"Amna endlea na fiksi zako, nakuskiliza "
"We msenge nin unadhani nakudanganya, na nishagair kuendelea manina, "
"Hahahah uyoo "
"Unataka unifunge kamba mtoto wa watu tu huna lolote,"
"Nenda Wew unadhani mim Kama Wew nn, mi mtu na nyota yake babuu 👌"
"Kadanganye watoto wenziooo 😜😜"niliondoka huku natupiana maneno na muuza miwa japo kiutani utani, "
Nikaendlea na mishe mishe zangu za kuokota makopo, nikakatiza mitaa ya magomen usalama had Morocco, nilishtukia kwa mbali Kama mtu ananiita,
"Wewee.. we.. naniii... Wewee.... "
Nikageuka nikakuta ni doctor ambaye ananikimbilia, nikasimama kumngojea,
"Vp ndugu yangu za masiku?!!! "
"Aaah salama tuu, "
"Daaah Ebhana ndugu yule dada wa kiarabu anakuulizia sana yan kanipa kazi ya kukutafuta Wew kivyovyote....... itaEndEndE@
USIKOSE REAL LOVE KUTOKA KWA DABEST4G.BLOGSPOT.COM

No comments