Breaking News

REAL LOVE 💘.....(+18)SEHEMU 7

REAL LOVE 💘.....(+18)SEHEMU 7
ILIPOISHIA......
nilishangaa akiniromanse japo skushiliki kwa kujbu mashambulizi lakin akninyonya lita moja la mate,
"Take care "pikipiki likawashwa tukaondoka......
ENDELEA.....
"Mbona unaniangalia alafu unacheka suka "
Nilimuuliza dereva yule baada ya kumuona ananitazama sana kupitia sight mirror zake,
"Amna upo vizur kaka "
"Nipo vizur Kivip mwanang "
"C unashea na watu wazito.... akasita Kdgo, ila kua makini mwanang "
"Embu simama kwanza "nilimsmamisha baada ya kuona ananiambia vitu nisivyovielewa elewa, nae bila kusita akasimamisha,
"Vp sasa "
"Nashea na watu wazito Kivip kaka Mbona sjakusoma,
"Ndo unisome sasa,Kama ulikua hujui yule dem wa kigogo mmoja serikalini huko haijulikan ni yupi, Sema anamjali Kwel mpaka ule mjengo kamshushia mwanang, Kwahyo Kama unakula kula kiakili maana hawakawii kukupoteza Wew au Yule mama yako unayempenda,
Moyo ulishtuka sana baada ya kuskia mama yangu akitajwa na suka yule,
"Mama yangu?!!!! "
"Ndo manaake watu wazito wanaroho mbaya sana mwanang, hebu tuondoke Kwanza tutaongea huku tunaenda,
"Hebu ngoja mwanang Kwan Wew mim unanijua?!!!! "
"Aah we si Sancho Mlatino wanakuita Albino nani cjui, "
"Hee umenijuaje?!!!! "
"Ah mi c nakuonaga ukiwa uwanjani Unafny yako, unadhani hii sinza magomen cjui tandale kuna asyekujua Wew?, Sema tuuu mi nakupanga mwanang pale kuwa makini, "
"Daaah mwanang unadhani basi namjua dem mwenyewe, mi nilimkuta wanataka kumbaka pande flan hiv za magomen, ikabid nimtetee ndo hivi akaning'ang'aniza nije kwake nashangaa analeta mapenz Kama hivi, "
"Yule kakuelewa afu istoshe anamawe ya kutosha Sema tuu kuwa makini mwanang "
Tukaendlea na safari hadi tukafika nyumbani, "Ebhana kaka Shukrani sana "
"Poa Mlatino mpe hi bi maza Sema zngatia mwanang wasje wakakupoteza middle wetu Bhna"
"Poa poa kaka!
Niliingia ndan moja kwa moja kwa kipenz mama yangu ambaye nilimkuta kalala, nikamfunika vizur kwa shuka yake kisha nikamshushia neti, nikachomeka kisha nikarudi chumbani kwangu kulipokua papo papo tu bila mpangilio,nikajitupa kitandani nikaanza kuyatafakar mambo tofaut tofaut kuhusiana na Leyl@th nitaishi nae vipi, ndugu zake wakimtafuta je? Ataweza kuishi maisha yetu Yale ya tabu vile, nikawaza pia maneno ya dereva boda boda kuhusiana na yule Rahma,
"Lakin yule dada Mbona mapepe sana, yan bwana ake kigogo alafu ananiletea usenge mim, na simtafuti wala nn! "Nikawa najisemea mwenyewe, mawazo yangu yalikatishwa na mlio wa mlango wetu ambao ulisikika ukigongwa na watu, ikanibidi niende kuufungua huku nikiwaza ni akina nan na wanataka nin usiku ule,.. nilishtuka baada ya kukuta wanaume wawili waliojazia sana..........itaEndEndE@
USIKOSE REAL LOVE KUTOKA DABEST4G.BLOGSPOT.COM

No comments