REAL LOVE 💘....(+18)SEHEMU 6
REAL LOVE
💘....(+18)SEHEMU 6
ILIPOISHIA.......
Maneno haya ya mama yalinitoa chozi la uchungu nikajikuta nageuka.....
ENDELEA..........
Nilipiga hatua kadhaa kuwakabili wale wajaalaana nikaokota gongo moja matata, nikawavamia bila kuuliza nikamiga mmoja la kichwa mpaka akayumba na kukimbia, japo wenziwe walimuwah kukimbia Kwan niliingia kwa gia namba tano iliyowatoa nishai,.....
"..AAA... AAA... AAA sante sana kaka angu "
"Aliongea huku akiwa analia sana dada yule,
"Usijali "nilimjbu kisha nikaanza kuondoka Kwan nilikua natokwa na machozi nisijue hata yalipotokea,
"Kaka samahan "
Aliniwahi dada yule akanishika mkono,
"Unasemaje? "
Niliuliza huku nikiwa nazuia sauti yangu isichanganyike na kilio,
"Mbona unaondoka hivyo hata sjakushkuru kaka angu "
"Usjal mshkuru mungu wak... o "
Hakika nilishindwa kujizuia kabisa nikajikuta nalia kwa sauti had yule dada akagundua,
"Mbona unalia kaka angu jaman "
"A.Aah..am..na "
Niliongea kwa kwikwi iliyotokana na machozi Kwan sauti ile ya mama yangu ilinijia na sikuwahi kuisikia muda mrefu sana,
"Hapana kaka angu naomba twende wote kwangu tafadhali "
"We nenda tuuu dadaangu "
Nilimjbu hali ya kuwa ninaondoka na machozi bado yananitoka kwa wingi sana,
"Niskilize bas kakaang jaman "aliongea kwa upole sana hadi nikawa naanza kupata huruma ya kuanza kumskiliza,
"Nakuomba twende hata kwangu mara moja unisindikize nitakupa hata ela ya bodaboda ikurudishe,
Masikio yangu yaliposikia kuhusu ela, ubongo ukakaa Sawa kidogo,
"Kwako wapi,? "
"Hapo tuuu magomen mikumi "
"Poa tuwahi "
Tukatoka kwenye vichochoro vile ambavyo bado ckujua dada yule alifata nin Kwan mwanaume tu kupita ni lazima uwe na moyo wa ziada maana giza lake syo la mchezo, nikampitisha kona kona za kutokea barabaran na hatukukawia tukawa tayar tupo barabaran, Dada yule ambaye mpaka muda huo nilikua bado sijamjua jina lake alisimamisha pikipiki moja kisha tukapanda, hakika yule Dada ameumbika vibaya Kwan siti ile ya boda boda aliitawala haswa kupitia nafas ndogo na mim nikakaa tukaanza safar ya haraka kidogo, nikawa najikuta kwenye koki yangu kunatuna tokana na makolongo na matuta yanayonifanya nimshikilie ili kupata balance na ictoshe ile nguo yake ya juu ilikua imechanika kias sehemu ya mgongo wake upo waz, hakika nilijikuta najawa na uchu nadhani kutokana mim ni sijawahi kumgusa mwanamke dizaini ile, ndan ya dakika chache tukawa tumefika nyumbani kwake ambapo kuna geti kubwa na zuri, tukashuka akabofya kisehem ndan ya dakika chache mlango ukafunguliwa na mlinzi, tukaingia huku nikiwa namitathimini lile jumba zuri kias kile hakika atakuwa ameolewa tuuu,
"Karibu ukae kakaang, Ngoja nimchukulie bodaboda pesa yake, akaniacha sebuleni kumikojaa kila kinachohitajika kuwepo tena vya kisasa, nikakaa kwenye sofa kubwa iliyopendeza kila nilipoitazama, alirudi akiwa ameshika noti ya shilingi elfu tano kisha akampelekea na kurud pale nilipobaki mim sebuleni,
"Kwanza ningependa kusema karibu sana na nashkuru sana kaka angu maana wale watoto walidhamiria kufanya ubaya haswa maana walishaanza kunichania nguo....yani bila Wew.... "
"Usijali mungu naamin Ndo aliniongoza kufanya lile dadaangu "
"Okee fyn let's thenk God, but mim naitwa Rahma cjui mwenzangu unaitwa nan? "
"Mim unaweza ukaniita Sancho au Mlatino hata ukiyaunganisha kwa pamoja syo mbaya "
"Okee nashkuru kwa kukufahamu,"
"Mim pia dadaangu,... ningeomba niwahi siku nyingne mungu akipenda tutaonana, "
"Mbona unawahi Sancho wakati nimekwambia utapelekwa na boda boda lakin?!! "
"Dadaangu mi nyumbani nmemuacha mamaang kipenz yupo peke yake ningeomba niwahi "
"Sawa basi ngoja nibadili hizi nguo zilizochanwa chanwa nikusindikize,"
"We Usijali dada Rahma mi nitafika tuu "
"Jaman Sancho Mbona kila nachokwambia hutaki kuniskiliza lakin"
"....Amna... ila.... Sawa bas fanya fasta kidogo "
Akatoka na kurudi kwenye chumba kile alichoingia mara ya kwanza ndan ya dakika kama alirudi tena akiwa kapendeza zaid nina imani alikua amejimwagia maji kuondoa jasho na kwa jinsi alivyovalia, alokuwa na mitego maalum bila shaka basi tukatoka tukiwa tumeongozana mpaka nje ya geti, nikamuona akitoa cm yake ya mkononi na kupiga,
"Halloo, upo wap.... haya uje haraka kidogo"
Aliongea na boda boda,
"Sancho Wew unakaa wapi kwani "
"Tandale uzuri tu hapo"
"Naomba namba yako ya cm bac! "
"Daaah dadaangu cm sijawahi kumiliki kabisaa "
"Mmmh asa nitakupataje jaman,... basi Wew chukua namba zangu alafu ukiwa na shida yoyote please yoyote ile nijulishe my Sawa "
"Sawa Ucjal "akiwa anamalizia kuongea dereva wa boda boda akawa tayari keshawasili, nikapanda
"Dereva taratibu usiniumizie, Sancho shika hii akachomoa noti tano za shilingi elfu kumi kisha akanikabidhi,
"Usimlipe chochote Huyo dereva nishampa hela yake Sawa "
"Poa dadaangu... "nilshangaa akiniromanse japo skushiliki kwa kujibu mashambulizi lakin alininyonya lita moja la mate,
"Take care "pikipiki ikawashwa tukaondoka...... itaEndEndE@
USIKOSE REAL LOVE KUTOKA DABEST4G.BLOGSPOT.COM
Post: By Dabest TZ

No comments