REAL LOVE 💘....(+18)SEHEMU 5
REAL LOVE
💘....(+18)SEHEMU 5
ILIPOISHIA.....
"Sancho!!!? "Alinishtua Leyl@th baada ya kuona nimeduwaa namtazama,
"Ee.. Naam "niliitika kwa pupa nikijiona Kama niliyebambwa....
"Vip Mbona unaniangalia hivyo.... "
ENDELEA......
"Aaa... Amna nilikuwa nahofia chumvi niliiona Kama nimeweka nying"
Nilijitetea huku nikimlisha chips nyingne,
"Mbona ipo Sawa jaman "
"Bas mi niliona nimemimina nying mana c unajua mapishi yetu sisi wanaume, "
"Kwan umepika mwenyewe hivi?! "
Swali lake lilinifanya nikumbuke kuwa alihitaj za wauzaji,
"Yaah niliambiwa mgonjwa akila chips za vibandani haponi, "
"Mmmh nani kakwambia,"
"We hujui tuu, Kwan mbaya nikakununulie zengne "Nilimuuliza Kama vile nilikua na hata senti mfukoni,
"Hapana hizi nzur sana, Wew unajua kupika yan nilijua ni za wauzaji wale kwenye restaurant"
"Hahahah Amna mim mwenyewe ndo chifu kuka "nilimjbu huku nikiwa napigia mahesabu hizo restaurant anazosemea yeye ni zipi?!!
Nilimlisha mpaka akardhka kabisa nikampatia na maji nimiyokuja nayo kwenye kidumu cha chupa ya uhai, tukaendlea na story mbili tatu mpaka ambao daktar akaingia kwenye ile wodi,
"Habari yako bwana.... "
"Sancho Mlatino Albino mwenye gundu "nilimjibia daktar yule ambaye alikua anatafuta jina lang kwenye faili la ubongo wake na kuwafanya wacheke yeye na Leyl@th,
"Hahahah haya bwana Sancho Mlatino Albinoo.. mwenye... gundu c ndio "
"Sawa Sawa "
"Nilikua nakwambia hivi, mgonjwa hali yake Kama unavyoiona, ni nzur Kwan ajali haikumsababishia majeraha yoyote ya viungo zaid ya disrupt brain activity (kuharibu shughuli za ubongo )ambayo kazi yake ni kumemorize every thing, kwa sasa tumempatia dawa ambazo zinasaidia kuhifadhi hivi tulivyovifanya tokea anapata nafuu had sasa, cjui unanipata vizur? "
"Nakusikiliza daktar "
"Sasa ili kurudisha kumbukumbu yake ya Mambo ya nyuma anahitaji umpe moyo uwe nae karbu muda mwingi asiruhusu hasira Kwan anaweza akapoteza kabisa kumbukumbu zake na kuwa Kama mtoto... kesho tutamruhusu bi.. Leyl@th urudi nae nyumbani, tutakupatia na dozi yake ili imsaidie Sawa, "
"Sawa doctor Kwahyo kesho nije kumchukua saa ngap? "
"Fika hapa saa nne asubuhi, Sawa "
"Nimekuelewa doctor, eti saa yako inaonyesha hii ni saa ngap? "
"Imehitimu saa nne na robo usiku, "
"Hee muda umekwenda sana acha bas niwahi, Leyl@th kesho ntakuja kukuchukua ee "
"Sawa usichelewe "
Nikatoka haraka haraka nikaanza safar yangu, awamu hii sikuwa natembea haraka haraka Kwan mwili wang ulikua umechoka sana tokana na mizunguko mingi ya siku nzima, kwa kujikongoja kongoja nikapita pita zangu vichochoroni nikaskia kelele "Jaman wananibaka msaada msaada!!!!!! "
Nilickilizia kelele zile kisha nikaelekea znapotokea, kwakua kulikua na giza kubwa nilifika karbu sana na wahalifu lakini hawakuniona, nilshangaa vijana wanne wadogo wadogo wa miaka Kama 18 au 19 wakiwa wanamlazimisha mdada ambaye anaonyesha mkubwa kwao lakin niligundua kuwa ni watoto wa mtaani Kwan walikua na mazuna(visu vya mmasai ) karibia wote ,roho ilisita kidogo kutoa msaada Kwan niliamini nitaingia kwenye vita ya watoto waliopinda alafu nijitafutie matatizo usiku ule,
"Tulia Wew, "
Mmoja alisikika akimfokea yule dada, nilitazama kidogo jinsi wanavyoangaika kumvua dada yule aliyevalia suruali tena ya jinzi Kama skosei Kwan walionekana kupata tabu sana katika kumvua,
"Watoto wamepinda kxengee Ngoja nitembee wasije wakanichana nikajiongezea matatizo"
Nikageuka na kuanza safar ya kurud nilipotoka, gafra niliskia sauti ya uchungu ilioambatana na kilio ilonifanya niingiwe na roho ya huruma,
"Jaman mnanichoma jaman cheki damu inatokaaa "
"Tulia we c unajifanya mgumu utatombeka tuuu"
"Nioneeni huruma mim ni Kama Dada yenu jaman "
"Mi nilishamtomba had mama angu sembuse Wew Kama dada yetu, oya chana hyo suruali "
Waliongea maneno machafu yalioivuruga akili yangu na kujikuta napata hasira na kumbukumbu ya maneno ya mama yangu enz anaongea ilinijia Kama kimondo kichwani mwangu,
"Sancho mwanang, maishani mwako mpende na umuheshimu mwanamke au msichana yoyote Kama mama yako, na usipende kumuonea au kushuhudia msichana au mwanamke yoyote anaonewa mbele ya macho yako, "maneno haya ya mama yalinitoa chozi la uchungu nikajikuta nageuka..... itaEndEndE@
USIKOSE REAL LOVE KUTOKA KWA Dabest Tz
Post By: Dabest Tz

No comments