SMS KALI NA MPYA ZA MAPENZI
Siku zote kwangu ni sherehe ni wewe unishereheshaye, ukweli usio na kejeli mapenzi yako yanatii kiu yangu, moyoni mwangu nimeridhia... Nakupenda daima mpenzi!
****
Ahsante
Mungu shukrani kwako mama, pongezi kwako mpenzi kuwa wangu mtetezi
kwenye jahazi la mapenzi, ufundi na ujuzi unao hasa tuwapo wawili
chumbani. Penzi lako halichakai daima huzaliwa jipya.
******
Mapenzi
ni upepo, mimi sivumi na kupotea, mapenzi ni mahaba sili nikamaliza,
nikimaliza nitakula nini kesho? Nakuahidi kukupenda leo hata kesho
ukiwepo na hata usipokuwepo.
*****
Imara hautikisiki, kakamavu halishikiki penzi langu kwako ni nuru daima halizimiki.
*****
Mapenzi si usanii ukiigiza utashindwa, mapenzi yanatoka moyoni wengi walioigiza walishatengana, mpenzi wangu usiniache.
******
Mimi
si mtume hakuna mwadamu aliyestahili usiniache nitajirekebisha na
nitaongeza bidii.Naahidi kuwa mpenzi mpya na bora kwako na si bora
mpenzi.
*******
Mpenzi
usiende mbali nami, njoo ufaidi utamu usioisha hamu, nitakupa mwili
wangu ucheze nao hadi asubuhi, nitakulisha unachokitaka, sitakubania
kwani naogopa wengine wanaweza kukupa... njoo leo uniambie unataka nini?
*******
Wengine
waliachana wakati bado wanakupenda, wengine waliachana sikuchache baada
ya kuchokana, wengine waliachana walipopata pesa, wengine waliachana
walipopata wapenzi wapya..naomba nikutoe wasiwasi kuwa siwezi kukucha
hata nipewe mamlaka ya kuogoza dunia nzima.
******
Nipe niridhike, nionjeshe usinilambishe nikigonga unikaribishe na ndoa yetu tuiharakishe.
******
Mapenzi
mazuri yanasifa zifuatazo, kuridhishana, kupeana bila kubaniana,
kubusiana, kusaheshimiana, kujaliana, kusubiriana, kusikilizana.Je,
utaweza kujifanyia yote hayo? Nijibu mpenzi...
******
Utakuwa wangu wa maisha daima na penzi letu litakuwa kama mfuko wa hazina, tutalitunza kama zaidi ya mboni ya jicho.
******
POST BY: Cc. DabestTz

No comments