REAL LOVE 💘......SEHEMU 28
REAL LOVE
ILIPOISHIA.......
kabla sijafanya chochote cm ikawa inaingia kuangalia alikua ni Nuuran......
ENDELEA.....
Nilisita kupokea kidogo nikiwaza nn naenda kumjibu maana kila nikikumbuka maswali yale kwenye sms zile nilizosoma muda mfupi,
Nikajikuta napokea bila kuongea,
"SHEMEJ UMELALA
"Aaa aaa. Amna Shemej vip kuna tatzo? "
"AMNA NILKUA NAKUPIGIA NIKUULIZE UMEFIKA "
"YAAH MUDA SHEMEJ, "
"SAW BASI KESHO NAOMBA TUONANE "
"SAW USIJALI, SHEMEJ "
"HAYA USIKU MWEMA "
"NAWEWE PIA "
Akamaliza akakata cm, nikashusha pumzi kwa nguvu kisha nikakaa vizur kwenye kochi, nikaanza kuwaza yale leyl@th yaliyomkuta,
"Yaan lile mbungi Mdogo ake asingekuja, Daah ningetokea dirishan Qmm@nynQ "nilijiongelea kimoyo moyo baada ya kukumbuka ile mishetan ya leyl@th ,
Nikapitiwa na usingizi mzito pale pale kwenye kochi nikawa sijijui maana uchovu ule wa sakata la leyl@th na mechi ya Honestly ulifanya mwili wangu kua mzito sana na wenye kuchoka zaid, niliamshwa na mlio wa hony ya gari iliyokua ikipigwa mara kwa mara lakin kabla sijainuka alikuja Honestly speed na kuniashiria nijifiche huku akichungulia dirishan,nilianza kuduwaa nikionekana nixjue cha kufanya,
"Jifiche huko kwenye meza, "aliniamrsha Honestly,
Nami sikuwa na jinsi zaid ya kufanya kama Honestly alvyoniamuru,nikamuona akifungua mlango ule,
"Bby "
"Nambie mrembo wangu
"
"Yaan we ndo ulivyo kila siku unanichezea tuu alafu unaniacha mi ctaki leo,
"Mpnz matatzo yangu c unayajua lakin mi nakupenda
"Unanipenda kitu gani si bora uwe shoga sasa
Hakika maneno yale makali aliyopewa muheshimiwa ambaye alikua hajui la kufanya,
"Ngoja nimekuletea zawadi mpnz
"Niachee
Alifoka Honestly, mheshimiwa yule aliinuka na kuvaa vizur nguo yake akachukua wallet yake akamuachia Honestly kwenye kochi, kwa macho yangu kama Google nilitazama zile fedha zlzojpanga mabunda matano,
"Tutawasiliana basi "
"
Hakujibu kitu Honestly zaid ya kumbenulia mdomo, mheshimiwa akafungua mlango na kutoka akiwa na aibu nyingi sana, niliisikia gari ikiwashwa kisha akaondka, nikaanza kutoka huku nikimtazama Honestly kwa jicho kali,
"Sancho nickilize mpnz wangu "
"Wew tena uniache hvyo hvyo
Nilimjibu kwa ukali sana kwani sikujua kwann aliniita pale jana,nikawa naelekea kutoka,
"Sancho ni matatzo ndo yanafanya niwe na huyu mzee na hajawahi kuniingilia kimwili na Cna mapenz nae mpnz nipo katika hali ngumu my please nihudumie japo kidogo Sancho nateseka, "aliniwahi Honestly aliyekuwa mtupu kabisa aliongea akilalamika sana, huku akionekana nyege zimempanda sana,
"Kwann unataka kunisabab.... "kabla sijamalizia nilishtukia romance ilonifanya nilegee kabisa na nisahau kile nilichotaka kusema, taratbu nikashusha mkono wangu kwenye ikulu yake iliyokua imekauka nikatema funda la mate nikapeleka kwenye ikulu yake ili asiumie nikiingiza kidole kupima oil, kwakweli sikupata tabu ya kumuandaa kwan mzee yule alkwishaifanya kazi hiyo nikamuweka Saw na kuanza kumsugulia japo hatukudumu kwenye mchezo Honestly aliwahi kupanda mlima kwa shida na raha alizozipata, nikamuachia akabaki akihema huku nami jasho jingi likinitoka,
"Mpnz twende tukaoge nataka niwahi kazin, "
"Poa tangulia nakuja "
Kabla cjakaa vizur nilishtushwa na mlio wa cm iloita haraka haraka nikaifata kuangalia alikua ni Nuuran,
"VIP SHEMEJ "
"SHEMEJ FANYA UJE KWENYE ILE PUB YA JANA SASA HIVI NAKUPA DAKIKA TANO "
alinishangaza kuongea kwa ufupi kisha kukata bila salamu,nikajkuta navaa haraka haraka kama niliyechanganyikiwa huku nikiwa najiuliza kilichotokea,
"Bby vip huog "alikuja Honestly na taulo alilohtaj kunikabidhi,
"Daah nimepigiwa cm ya dharura acha niwahi tutawacliana,
"Bas chukua hapo bunda mbili tufanye kugawana "
Nikachkua bila kuzihesabu nikaziweka lfukoni nikatoka haraka haraka, nikasimamisha piki piki nikapanda,kwel ndani ya dakika tano nikawa nimefika eneo la Vatican city, nikashuka nikampigia cm akanielekeza kisha nikaelekea, nilipofika nikamuona akiwa amekaa na leyl@th ambaye aliniangalia kwa jicho kali sana na nilistaajabu kuona nimewasalimu lakin yeye akatoa msunyo mkali......... ItaEndelEaaaaa
USIKOSE REAL LOVE KUTOKA WWW.DABEST4G.BLOGSPOT.COM

No comments