REAL LOVE 💘......SEHEMU 21
REAL LOVE
ILIPOISHIA......
Nikageuka hakika sikuamini kuona mama kavalia kitenge kipya akiwa kasimama mlangoni kasheka mabeg ya wanawake Yaani kama kajirenew..........
ENDELEA.....
"Mama?!!!
"Abee mwanangu "
Ckuwa na cha kumwambia zaid ya kumfata na kumkumbatia kwa furaha nikajkuta machozi yakinitoka kwan kila nikimtazama ckuamini machoni,
"Mama umepona?!!! "
"Ndiyo mwanangu Sancho,nimepona, twende ndani tukakae mwanangu nilikumic sana "aliongea mama ambaye sauti yake ilikua adimu kwangu sikuwahi kuitwa mwanangu na mamayangu kipenz tokea najitambua, nilijawa na furaha icyo kifani kumuona mama kapendeza na anatembea mwenyewe, japo sikujua malaika gani kutembelea pande zetu,
"Mama ujue siamin "
Niliongea huku namsaminisha vizur nikagundua haswa kua Yule ni mama wa mie kwan kikomwe chake kimetokeza kama changu ananyusi nying, kope zake zilisimama sawia, tabasamu lake lilizidi kunifanya nihisi amani moyoni mwangu,nilitumia macho yake madogo kujiangalia ndipo nikagundua kua nimefanana sana na mama yangu kama alivyojisemea ness Grorie,
"Mama kimerokea nin manaake umetokelezea kama leo sikukuu, "
"Hahahah
"Kweli mama niambie kama madocta wanataka goma hili ndo wamelilinew, "
"Hahahah
"Tuambiane tu ukwel mamaang maana duu umekua sister duu "
"
"Daah mamaang mi hata hamu ya kula cna mwenzio, Yaani nina mifuraha hata kiroba hakitoshi nikisema niijaze "
"
"Mi nakwambia ukwel, "
"Haya bhna mwanangu,..... kwanza tumshukuru mwenyeezi mungu nimepona kabisa japo kuna dawa za kukausha baadh ya maeneo yenye mshono, mama ako nilikua nauona umauti kabisa yani, lakini kwakua siku zangu bado ndomana,"
"Daah Kweli mama tumshukuru sana mungu kwasababu mim nimeangaika tokea jana yamenikuta ya kunikuta huko mpaka nikaamini nimekukosa mamaang lakini nashangaa kukukuta umetibiwa salama kabisa, asa sijui huko hospital una deni ama vipi maana hizo million mbili Yaani cjui mpaka nizaliwe nchi nyengine ndo nizipate maana ni shida "
"Mwanangu we acha tu, hospital hatudaiwi lakini tuachane na hayo nitakwambia tuu, vipi Ismail mwenzio yupo? "
"Yupo mama sema leo ndo ckupata hata muda wa kwenda kumchingulia kwake, "
"Haya basi kamuite mwenzio nimewamic sana, "
"Haya mama "
"Nilitoka kama mtoto mdogo nikikimbia kwa furaha sana maana tokea nizaliwe sikuwahi kufurahi vile, katika kukata kona na speed ile kali kwa bahati mbaya nikamkumba dada mmoja ambaye nae alikua anahitaji akate kona kwa speed ile niliokua natumia tulijikuta tumeangukiana Yaani juu mim yeye chini, hakika nilimuonea huruma dada yule kwan alikua ameumia mguu ambao niliukalia muda namuangukia,
"Mamaa
"Daah samahani Dadaangu "
"Umeniumiza mguu ona
"Pole sana Dadaangu cjakusudia, nisamehe sana "
Niliongea huku nikimsaidia kuinuka,
"Nimeumia sana jamani
"Nisamehe sana Dadaangu lakini nimekiri kosa
"Asa mim nitarudi vipi nyumbani "
"Kwako wap kwan "
"Cyo mbali ni hapo tuu nyumba ya tatu, "
"Sawa Ucjal nitakupeleka Dadaangu "nikamshika vizur mkono naye anashikilia bega langu tukafika mpaka kwake akatoa funguo ya chumba chake akanikabidhi nikafungua tukaingia,
"Nipeleke ndani
"Ucjal "nikampeleka mpaka chumbani kwake kuliposheheni vitu vya kutosha, nikamuweka kitandani,
"Asante sana kakaangu "
"Usijali Dadaangu mi ndo nimesababisha Haya yote ila Nisamehe sana "
"Wala Ucjal haya yanatokea sana, mim naitwa Honestry "alijitambulisha,
"Daah nashkuru kukufahamu mim niite Sancho mlatino inatosha "
"Hahahah Sawa mlatino nashkuru kukufahamu "
"Sawa ningeomba niwahi "
"Haya mlatino karibu tena "
"Haya Asante "
Nikatoka haraka haraka kuelekea kwa Ismail ambaye nashkuru nikakutana nae njian,
"Oyaa suma vp "
"Shwar mwanangu Mbona tokea jana jii "
"Twende nyumbani kwanza unaitwa "
"Na nan babu "
"We twende faster "
Nilimchukua suma hai hai tukawa tunaelekea nyumbani ambapo siyo mbali, tulifika nyumbani kwetu nikashangaa na kubikuta nasimama baada ya kumkuta Leyl@th akiwa amesima mlangoni kwetu anatokea ndani........itaEndelEaa
USIKOSE REAL LOVE KUTOKA WWW.DABEST4G.BLOGSPOT.COM

No comments