REAL LOVE 💘......SEHEMU 17
REAL LOVE
ILIPOISHIA......
Niliongea kwa kujikaza na kumfanya Suma anielewe kisha tukaagana nikielekea nisipopajua.....
ENDELEA.....
akilini niliwaza kumtafuta Pendo mwenye namba zile zilizopo kwenye kikadi kile, nikaelekea kwenye kiduka kilichokuwepo kando kando kidogo ya njia,
"Oyaa inakuaje mkuu "
"Fresh tuuu karibu boss"
"Boss wapi Mwanang Mi naulizia eti mnapigisha cm? "
"Kupigisha cm kivip? "
"Yaan nataka nimpigie mtu apa afu sina cm, "
"Anhaa dah hizo huduma za zaman sana sikuhizi kila mtu ana cm yake unadhani vibanda vya cm utavikuta wapi bongo hii kaka?"
"Daaah mi nina shida kichizi Mwanang, kuna mtu wa muhimu hapa yan Daaah, "
"Mtandao gan? "
"Mmmh ebu angalia hizi namba hapa "
Niliongea huku nikimkabidhi kikadi kile,
"Hii tigo na hii Voda,Tupige ipi sasa? "
"Yoyote ile ambayo tutampata Mwanang "
Nilimwacha muuza duka yule aliyekua akibonyeza bonyeza namba kisha kupiga,
"Daaah Hii ya tigo haipatikani Mwanang na mim ela ya kupiga Mtandao mwengine sina,.."
"weka vocha bas ya jero basi nitalipa! "
"Poa "
Akainuka na kuchukua vocha dukan kwake akawa anaikwangua kwaajili ya kuiweka, alifanya shughuli ile ya kupiga tena,
"Nayo haipatikani! "Alinambia muuza duka yule aliyekua bado anajaribu jaribu kupiga,
"Usikute ww hauna zali Mwanang ebu leta hiyo kadi na hiyo cm mara moja "akanipa nikaanza kuandika namba moja moja kwa umakini sana kwani nilirudia mara mbili mbili, nikapiga namba ikawa Inaita kwa muda bila kupokelewa,
"Vipi umempata? "
"Inaita lakin haipokel.... "kabla sijamaliza kusema chochote ikaskika sauti ilonifanya nikatishe maongezi na muuza duka Yule,
"HALLO "
"EEE HALOO, MIMI SANCHO NAONGEA "
"SANCHO!!! "
"NDIYO WEW SI PENDO "
"YAAH NDO MIM, MBONA USIKU HUU JAMAN, "
"NINA MATATZO PENDO YAN SJUI NAEZA KUKUONA TUONGEE. "
"MMMH KWA SASA SIWEZ KUTOKA COZ NILIKUA NIMELALA MAYBE UJE HOME "
"VYOVYOTE TUU SAWA, "
"HAYA, WEW UPO WAPI SASA HIVI "
"MIM NIPO HAPA TANDALE HAPA GARAGE"
"BASI NJOO HAPA SINZA SUNSIRO CLUB, UKIFIKA NAMBIE NIKUFATE, "
"DAAAH SASA MI HII CM CYO YANGU NIMEAZIMA TUU. "
"BASI MTAFUTE DEREVA WA BODA BODA NIPIGIE KUPITIA NAMBA YAKE NIMUELEKEZE AKULETE, "
"SAWA "
"USICHELEWE BASI "
"SASA HIVI NAKUJA, "
Nilikata cm nikimkabidhi muuza duka yule nikamshkuru kisha nikaanza safar yangu Kama nilivyoelekezwa nikaanza kutafuta bodaboda, nikaipata,
"Oya inakuaje suka "
"Kama kawaida "
"Mwanang hapa na sinza bei gani,
"Sinza sehemu gan "
"Kama kwenye club gan cjui Sunsin cjui "
"Anhaa SANSIRO Elfu 3 mbaba "
"Daaah bard, sema nn mi nataka uipige hii namba ikuelekeze fasta"
"Poa "akaichukua akapiga na kuongea nae kisha akakata,
"Panda twende "
"Poa Poa "
Nikapanda bodaboda na ndani ya dakika Kama kumi tukawa nje ya nyumba moja ya kupanga iliyokaa uchochoroni kimtindo, akatoka Pendo na elfu tatu na kumkabidhi dereva bodaboda akaondoka,
"Karibu ndani, "alinikaribisha huku akitangulia kuingia ndani kwa madaha sana na jinsi alivyovalia kaguo kale wanakaita night dress inayoonyesha vizur maungo yake ya ndani,
"Ngoja kwanza Pendo "
"Nn Sancho ? "
"Tuonglee hapa hapa tu ninamatatizo makubwa sana!!
"Jaman Sancho hata ndani unataka kunambia hutaki kukanyaga Bby "
"Cyo hiyo Pendo, mamaangu anaumwa sana, na anatakiwa kesho afanyiwe operation na wanahitaj million mbili lakin kwa kuanzia ipatikane million moja tu kwa kesho
"Jaman Bby Mbona unataka kulia sasa Usijal ni mitihan tu ya mwenyeez mungu, atapona Ucjal twende tulale kesho asubuhi tutaenda wote ATM tukatoe fedha then tutaenda wote hospital,
Moyo wangu ulipata faraja baada ya kuckia Pendo anahitaj kunisaidia vile,
"Daaah nitashkuru sana mpenz "
"Usijal twende ndani, "alinishika kiuno huku akinishawish tuelekee ndani kwa uchokozi wa hapa na pale, nikaskia,
"Enheee alafu Bby,.... utanipa
USIKOSE REAL LOVE KUTOKA KWA DABEST4G.BLOGSPOT.COM

No comments