REAL LOVE 💘.....(+18)SEHEMU 11
REAL LOVE
ILIPOISHIA.......
"Sancho Mwanang unahitajika "aliongea kwa pupa bila hata kutusalimia kias nilianza kupata hofu.....
ENDELEA......
"Mbona Kama hivyo Wew, unakuja hapa unapepetuka tu bila kumsalimia"alifoka Ismail baada ya kumuona yule dereva wa boda boda akiwa anamapepe meng ,
"Daaah samahanin wakibwa nimetumwa haraka haraka kuna matatizo kidogo, "
"Matatizo gan hayo "Niliuliza kwa shauku sana,
"Sister Rahma amelazwa na kaniagiza nikupeleke sasa hivi "
"Amepatwa na nin kwan "
"Mwenyewe sifahamu kanipigia cm tu, "
"Huyo Rahma Ndo nan Mwanang Mlatino, "
"Daaah longi stori suma nikirudi nitakupanga ucwaze "nilimjibu Ismail japo nilichanganya na kiingereza kuokotea makopo lakin alielewa, nikapanda piki piki safar ya kuelekea hospital ikaanza,nilishangaa kuona tunaelekea hospital ileile aliyokua amelazwa Leyl@th kipindi anaumwa,tulishuka tukapandisha had kwenye wodi aliyolazwa Rahma, moyo ulijawa na huruma kwan Rahma alionekana ni mgonjwa sana,
"Vip Rahma umekumbwa na nn?? "
"Sancho hunipendi, "aliongea Rahma aliyepata tabu sana kuitoa sauti yake,
"Amna Rahma nakupenda Mbona Jaman "
Kabla hajajibu kitu aliingia doctor anayemtibu Rahma,
"Habari zenu, "
"Salama tu doctor, vip vipimo vinasemaje "
Nilijibu kwa shauku sana nikamuuliza doctor,
"Mgonjwa alikunywa sumu yenye madini ya iodine, ambayo yanakwenda kudisturb sehemu ya uzazi na kusababisha kuua kiumbe chochote kitakachoingia tumbon lakin pia sumu hyo ina speed up hormone tension , ambazo znaweza kufanya awe na matatizo ya kufanya ngono mara kwa mara,... but tumempatia dawa ya kupunguza makali ya hiyo sumu, na hii dripu ya maji itamsaidia kuondoa sumu, "
Alielezea doctor kwa urefu sana japo nilitumia umakini wangu kuelewa mambo yote ila nilishindwa kutokana na lugha nyengne alizotumia kwangu hazikua rasmi,
"Sasa doctor hali hyo ya kufanya mapenz hakuna dawa ya kutuliza hyo hali kwakwel au ndo inakuaje maana hata selew itakuaje na mume wake yupo safarini ??! "Niliuliza ili nijue zaid hlo swala ambalo kidogo ni tata sana,
"Mmm kwakwel dawa za kuondoa hisia zake ambazo kwa Sasa zmezidi kwa asilimia 80% haipo, labda tumchome dawa ya usingiz ambayo si salama sana kwan endapo akiamka asilimia ztazidi kuzid kabisa kufikia asilimia 90% hata 100% ambayo si salama kabisa kwa binaadamu,"
"Sasa doctor.... ebu Njoo tutete kwanza "ilinibidi nimtoe pemben daktar ili niongee nae vizur,
"Enhe Nambie vizur, ujue doctor yule ni mke wa mtu, alafu unavyosema hvyo unajua unaniweka kwenye matatizo, "
"Kwan we nan yake "aliniuliza daktar,
"Mim.... dah mimi... Kama ndugu yake "
Nilijibu kwa kujiuma uma,
"Sikia kijana yule ni mgonjwa ukifanya nae mapenz utakua umemsaidia kupunguza asilimia zake, na Mim Kama daktar nimetoa tu ushaur Kwahyo ni mtajua wenywe mtamsaidia vip, "
Aliondoka daktar kwenye sehemu ambayo tuliteta, ckuwa na jinsi kwani niliona wazi nimeachiwa mzigo wa lawama, tukarudi sehemu ile ambapo daktar alianza kutoa bomba ya dripu ambayo ilikwisha maji,
"Unajickiajee Sasa hivi "aliuliza daktar,
"Safi kidogo "
"Sawa dawa hizi apa mkitoka mpitie na pale reception kwenda kusign Sawa! "Alitusisitizia doctor, tukatoka huku dereva boda boda akimshikilia kwa makini had kwenye pikipiki yake wakawa wananingojea mie niliyekuwa nasign ,kabla sijaondoka nilimuona yule doctor aliyemtibu Leyl@th akionekana naye kaniona hivyo akawa anakuja upande wangu, ilinilazimu nimngoje kwan yeye ndiye ananipaga taarifa kuhusiana na Leyl@th,
"Vp doctor "
"Dah saf ndugu yangu za tokea mchana, hivi jina... "
"Sancho Mlatino "
"Jina lako linanitoka toka, mim naitwa doctor Hancy, vp kuna mtu umemleta "
"Yaah mtoto wa shangaz Yule ananingojea, "
"Anhaa,basi Sawa yule mtu hapatikani nadhani atakua nje ya nchi sasa hiv "
"Aaa Sawa bas Ngoja nimuwahishe mgonjwa kwanza ndugu yangu "
"Poa nitakutaarfu kila litakalojili bwana mkubwa "
Niliaga nikawah kwenye pikipiki ambayo Rahma alionekana amechoka kungojea,
"Sancho bwana tuwahi "
"Sawa Ucjal "
Pikipiki iliwashwa tukaanza safar ya kuelekea nyumbani kwa Rahma, haikuchukua muda sana tukawa tumefika nyumbani kwa Rahma, tukashuka huku nikiwa nimemshkilia Rahma ambaye nilishaanza kuona mapepe yake kwa kunipapasa papasa japo nilimzuia mara kadhaa, dereva boda boda alituaga kisha akaondoka, nikasukuma geti ambalo lilikua halijafungwa vizur huku Rahma akizidisha makeke ya kutaka kuninyonya lips zang, nilishangaa kuona gar yenye plate namba za private ambazo ni za viongoz weng wa nchini hapa, nikastaajabu kuona Bado Rahma anaongeza juhudi za kutaka kuninyonya mim ambaye akili yangu ilikua isharuka kwa muda huo,...... itaEndEndE@
USIKOSE REAL LOVE KUTOKA DABEST4G.BLOGSPOT.COM

No comments