Breaking News

REAL LOVE 💘....(+18) SEHEMU - 4 {Dabest4G.Com}

REAL LOVE 💘....(+18)SEHEMU 4
ILIPOISHIA........
Nilijikuta nimeganda huku nikiwa nimeduwaa na mwili ukaanza kutokwa na majasho mengi baada ya kumkuta mama yangu kipenz akitokwa na damu nying na akiwa amelala kana kwamba hajitambui......
ENDELEA......
Haraka nilimshka nkamuinua ili akae kitako, niliweza kugundua kua damu zile zilikua znatoka puani, nikamlaza chali ili kujaribu kuzuia ictoke,
"Mama... mama... mama...? "
Nilimuita mara tatu huku nikiwa namtikisa ndipo akafumbua macho yake yaliyoonekana yamelegea sana,
"Nini tatzo mamaang!!?, unajihisi chochote mama "
Nilimuuliza kwa pupa sana lakin mama alikataa kwa kichwa akiashiria hakuna kinachomsumbua, nilimfuta damu ile iliyokua tayar imeacha kutoka baada ya kumlaza vile nikachukua maji yaliyokuwa katika ndoo ndogo kisha nikamchotea ili anywe, nilimnywesha mpaka akamaliza kikombe na alionekana akunywa kwa pupa hivyo nikamchotea kikombe chengne nacho alkunywa japo hakumaliza, nikatoa lile bakuli alilokuwa amenywea uji muda ule, nikaelekea jikoni
"Mama viaz si utakula eee "
Niligeuka kumuuliza kabla sijatoka naye alijibu kwa ishara akimaanisha atakula, nikawasha jko la mkaa uliojaa chenga nying zilizotoa moshi nikaanza kumenya viaz japo ving nilivikata kwaajili ya chips vyengne nikaviacha bila kuvikata, moto ulipokolea nikabandika sufuria nikaweka mafuta ambayo ni ya muda yan yamekaangiwa samaki, mihogo na vitu vyote vya kukaangizwa yalitumika mafuta hayo, haraka haraka nikawa namenya nyanya mafuta yalipoanza kupata moto nikakatia vitunguu vya kutosha kisha nikangojea viive,... kwakwel nina sifa ya kujua kupika kwan nilianza kujifunza kupika tokea nipo mdgo sana, hazikupita dakika nying viaz vikawa tayari, nikachukua saani kisha nikavimimina bila kuchlewa nikabandka sufuria nyengne kwaajili ya kukaangia chips, nikaweka mafuta meng kisha nikaelekea kwa mama na sahani ile ya viaz vinavyonukia vizur kias kwamba vinahamasisha kula,
"Mamaang chakula hikiapa Ngoja nikuletee maji ya kunywa na ya kunawa "
Niliandaa chakula kile kisha nikarud jikoni kwa ajili ya kuweka viaz vya chips, nikaweka fastaa kisha nikarudi kwa mama kumlisha, mama yangu alikuwa na faraja kupata mtoto Kama Mimi naimani kwan hufurahi sana pindi nikiwa nae japo hacheki kwa sauti lakin hutabasamu sana nikishampigisha story zangu za uongo na kweli, nilimlisha huku naenda kuangalia viaz navigeuza, nikaendlea kumlisha had akamaliza nikampa maji ya kunywa kisha nikaelekea kuokoa viaz vya chips ambavyo vilikua tayari vimeiva, nikaviweka kwenye kontena flan la plastic kisha nikaenda kutoa vyombo kwa mama,
"Mama kuna sehemu naenda, ila sitachelewa kurud mamaang "
Aliitikia kwa kichwa Kama ilvyo kawaida yake, nikatoka na vitu vile vya mgonjwa haraka haraka nikaanza kupita njia zile za mkato nilipata kusikia redio zikitangaza muda , ilikua imehitimu saa moja na nusu usiku, nikaongeza mwendo Kwan nilihisi muda wa kuona wagonjwa umekaribia, hazkuchukua dakika nying nikawa tayar nipo hospital, moja kwa moja nilielekea kwenye wodi aliyolazwa Leyl@th ,nikasukuma mlango nikamkuta kalala nami nikamuasha nkamsaidia kukaa kwa kutumia mto wake,
"Vp mgonjwa wang "
"Safi tuu "
"Vp unajickiaje saahiv "
"Kdgo afadhali, "
"Et eee mim unanikumbuka? "
"We si sancho!, we nakukumbuka vizur tuu lakin vitu vingne bado, "
"Hahahah usjal utakumbuka tuu, nmekuletea chips zako! "
"Haaa alafu nilisahau kukwambia kisiwekwe kitu zaid ya chumvi tuuu "
"Shepu yako tu inaonyesha hupend kuweka kitu kwenye chips ndo maana na mim ckuweka chochote"
"Hahahah alafu Wew et shepu yangu ndo haipend kila kitu uongo tuu "
"Bisha sasa mi najua kuangalia shepu za watu na vyakula vyao kwa taarifa yako, haya Ngoja nikulishe kimwali"
"Haya mtabiri "
Nikamlisha taratibu yani chips moja badala ya nyengne huku nikimtazama kwa umakini sana,hakika sikuwahi kuwaza Kama ipo siku nitamlsha mwanamke mzur Kama Leyl@th mwenye macho makubwa kias yaliyoingia ndan vizur, rangi yake ya kiasili kabisa ya kiarabu na nywele zake ndefu zlizomfanya azidi kuwa mrembo hakika dimpoz zake zlzoshndwa kujificha tokana na ukubwa wake zlidhihirsha upendo dhalili kutoka kwa wazaz wake pua yake haikuwa Kama ya waarabu wengne Kwan ilikua Nzur na pana kias iliyoendana na sura yake,
"Sancho!!! "Alinishtua Leyl@th baada ya kuona nimeduwaa namtazama,
"Ee.. Naam "niliitika kwa pupa nikijiona Kama niliyebambwa..
"Vip Mbona unaniangalia hivyo "......itaEndEndE@
USIKOSE REAL LOVE KUTOKA KWA DABEST TZ.

Post By: DabestTz

No comments