Kisutu: Diamond, Mobeto Wamalizana Mahakamani
Mobeto akiwasili mahakamani.
MSANII wa Bongo Fleva, Nasbu Abdul ‘Diamond Platinumz’ na mzazi
mwenzake Hamisa Mobeto, leo Feb. 13, 2018 wamefika tena katika Mahakama
ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kusikiliza kesi ya madai ya
matunzo ya mtoto iliyofunguliwa na Hamisa ambapo Mahakama imeifuta kesi
hiyo baada ya wawili hao kupatana nje ya mahakama.
Diamond akiwasili mahakamani.
Katika Shauri la kesi hiyo, Mobetto alikuwa akiomba Mahakama iamuru Diamond kutoa matunzo ya mtoto kila mwezi, ambapo uamuzi huo umetolewa katika mahakama ya watoto Kisutu.
Post By: Dabest4G


No comments