Faida za Kulala Mtupu wakati wa Usiku
Ni siku nyingine tena tunakutana katika
dondoo za afya, na hapa leo kupitia wataalamu wa afya duniani
wametuletea faida za kulala mtupu.
Bila shaka kila mtu anautaratibu au mazoea ya jinsi ya kulala wakati wa usiku, na huenda pia ikategemeana na mazingira/hali ya hewa kwa mfano mokoa yenye ubaridi kama Iringa, Kilimanjaro na Arusha huenda watu wakawa wanavaa nguo nzito wakati wa kulala.
Je kwa upande wa wataalamu wa afya wanatoa muongozo gani au ushauri gani kuhusu hali mtu anayotakiwa kuwa nayo wakati wa kulala usiku.
Sasa kupitia kipindi cha redio cha Jibambee Radio Show kwabahati nzuri wamezungumzia faida sita za kulala mtupu/uchi>>>Sikiliza hapo chini>>>

No comments