Wolper Anajuta Kupoteza Muda Wake
STAA mwenye kuijulia mitindo ya nguo Bongo, Jacqueline Wolper
anajutia kupoteza muda wake mwingi kukomaa na filamu, badala yake anaona
ni bora tu angeanza biashara yake ya ushonaji wa nguo anayoifanya kwa
sasa.
Wolper aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, miaka 10 iliyopita alitumia nguvu kubwa mno kukuza jina lake kupitia sanaa, lakini ukweli ni kwamba angetumia nguvu hiyo kukuza kipaji chake cha ushonaji leo angukuwa bonge moja la tajiri Bongo.
“Ningejua tangu mwanzo ningekomaa na mitindo maana huku naona watu wananielewa na ninapata pesa nyingi, lakini kwenye filamu nimeishia kujulikana tu,” alisema Wolper.
Story: Dabest4G

No comments