Uwoya Aja na ‘Uwoya’ Mpya Msimshangae
Irene Uwoya
STAA mwenye mvuto wa kipekee Bongo Muvi, Irene Uwoya amesema kuwa
ameamua kubadilisha mfumo wa maisha yake hivyo mashabiki wake
wasimshangae.Akizungumza na Star Mix, Uwoya alisema kuwa hakuna kitu kizuri katika maisha ya mwanadamu kama kubadilisha mfumo wa maisha ambao ameuzoea na kwenda kwenye mfumo mwingine. “Huwezi kuikuta tabia yangu ya zamani, nimebadilisha kila kitu kwenye mfumo wa maisha yangu yaani hapa mimi ni Uwoya mpya kabisa,”alisema Uwoya.
Post By: DabestTz


No comments