Breaking News

REAL LOVE 💘.... (18+) SEHEMU 15


REAL LOVE 💘....SEHEMU 15
ILIPOISHIA......
Nilipochungulia nilishangaa kuona gari Kama ile iliopaki ndani aina ya Vx 100 ikiwa inapiga hony na plate namba zake ni Kama zile ambazo pia ni private........
ENDELEA......
mapigo ya moyo yalianza kwenda mbio huku kumbukumbu za maneno ya dereva yakinijia kichwani Kama kimondo, haraka nikaanza kurud nyuma huku nikiaanza kuhofia, zilipigwa tena honi nying nying zilizozidi kunichanganya akili nikataka kurud ndani, kabla cjafungua mlango nikamuona Rahma akija mbio akiwa anaonekana mwenye hofu sana, nikajibanza pembezoni mwa ukuta ulio karibu na mlango, kias Rahma hakuniona ukijumlisha na ile haraka haraka yake asingeweza kufahamu Kama nilijificha pale, nilimuona akiwa anafungua geti kwa mashaka meng, ile gari ikaingia kwa kasi sana na kupaki, nilishtuka baada ya kumuona mheshimiwa mmoja mbunge wa Tanzania akishuka na kuonekana mwenye hasira sana,
"Rahma unanifanyia mim hivi?!!! "
"Nimekufanyia nin kwan 😰,
"Yaan mim umeniona mpumbavu sana kukufanyia yote haya alafu unaenda kumchukua kapuku yule mpumbavu, nakwambia nakutoa roho mshenzi mmoja ww 😡"aliongea mheshimiwa yule aliyekua na hasira sana,kwa macho yangu mawili nimshuhudia mheshimiwa yule akiitoa bastola yake na kumnyooshea Rahma ambaye alikua anaomba msamaha kwa lugha zote huku machoz yakimtoka Kama Mtoto mdogo, cyo siri nilishtuka kuona Rahma akianguka chini 😮 baada ya kupigwa na risasi tatu zilizomkuta maeneo ya kifua na kumfanya atapetape kwa tabu nying,...
"Wanawake wapumbavu sana,yani naligaramia linaleta usenge usenge hapa,"aliongea huku moja kwa moja akielekea getini ili kulifungua geti lile kisha akarud kwenye gari yake na kuliwasha kisha akatoka kwa speed kali iliyofanya hata baadhi ya watu waliokuwepo nje kushangaa, moyo ulikufa ganzi kwa kile nilichokiona nikajikuta nataka kuzimia lakin nilijikaza na kuruka ukuta kwa umakini huku nikihakikisha hakuna aliyeniona, nikaongoza moja kwa moja njia ya kurud nyumbani huku kichwani nikiwa nina msululu wa mawazo, nikachukua bajaj na kulielekeza ninapoelekea, Akili ya kwanza ilinipa swali gumu ambalo liliniumiza kichwa sana,
"Nani kamwambia? "Kila nikijiuliza nilikosa jibu hakika, ckuwa na jins zaid ya kurud nyumbani moja kwa moja nikaingia chumbani kwangu ikiwa ni mara yangu ya kwanza kurud bila kumsalimu mama, nikafika ndani nikajitupa kitandani na kulala moja kwa moja,nilipitiwa na usingiz mzito sana nicyoutegemea kwa wakati ule, nilikuja kushtuka jioni sana nikashangaa kwani ni mara yangu ya kwanza kulala mchana tena Kama vile, niliinuka moja kwa moja had chumbani kwa mamaangu kipenz niliyemkuta kalegea sana na mwili wake ni wamoto sana, moyo ukaanza kunijawa na wasiwasi mwingi kwani mama yangu ndiye mtu pekee ninayemuhusudu maishani mwangu,
"Mama.. mama 😰"
Niliita lkn alizidi kilegea, moyo wangu ukazidi kwenda mbio, akili ya haraka ikanijia ya kumuwahisha hospital, nikatoka haraka had kwa Ismail niliyemkuta akiwa anatengeneza mlango wake ,
"Vp sancho Mbona hai hai Kama hivyo damu yangu "
"Mama... mama... suma Daaah "
"Mama kafanya nn sas sancho Mwanang "
"Twende tumuwahishe hospital "
Niliongea huku nikianza kukimbia,
"Sasa huko unaelekea wap Mwanang au ndo kuchanganyikiwa"
"Daaah suma nenda nyumbani akamuandae mama mi nawahi kuchukua bajaj, "
"Poa "
Tuliachana huku suma akielekea nyumbani mim barabarani, nilifanikiwa kupata bajaj na kupanda,nikarudi nayo had nyumbani na kumkuta suma akijitahidi kumkokota mama aliyeonekana kufumba macho na hajielewi, nilijikuta machozi yakinitoka nisiamin nachokiona 😰.....itaEndEndE@
USIKOSE REAL LOVE KUTOKA KWA DABEST4G.BLOGSPOT.COM

No comments