MAMA DOGO JANJA ATIA NENO LA VALENTINE KWA UWOYA
Mama wa Msanii wa Bongo Fleva, Abubakar Chande al-maarufu Dogo Janja
ametoa ujumbe wa Valentine Day kwa mkwe wake Irene Uwoya ambaye
amefunguka ndoa na mtoto wake huyo.
Akizungumza na Global Tv Mama Dogo Janja amewapa uhusia wa maisha ya ndoa kwa watoto wake hao na kuwataka kuelewana kutokana na maisha ya ndoa kuwa na vikwazo vya hapa na pale.
Pia amewaomba kudumu kwenye ndoa yao kama alivyo yeye na ndoa yake na kuomba uongozi wa Tip Top kumuongoza Dogo Janja ili kufikia malengo yake.

No comments