Kidoti Kinampagawisha Kidoti
MWANAMITINDO na Kaimu Katibu wa Idara
ya Uhamasishaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi
(UV-CCM), Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amefunguka kuwa kidoti chake huwa
kinampagawisha.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Jokate alisema kuwa, kila mwanadamu kuna kitu anakipenda kwenye mwili wake na kwa upande wake yeye anakizimia kidoti chake kwa sababu ndicho utambulisho wake.
“Kila ninapoamka asubuhi, lazima nikichungulie kidoti changu kama kipo au kimepungua maana ndicho utambulisho wangu,” alisema Jokate.
Story na DabestTz

No comments