Ipo siku Akina Kajala Watafia Mazoezini.
STAA mkali wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ ameweka wazi
kuwa, mastaa wengi wanakimbilia kufanya mazoezi, lakini ukweli ni kwamba
kupungua ni ishu kubwa na ipo siku watafia mazoezini.
Kajala aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, amesh-afanya mazoezi mno ili kupu-ngua mwili, lakini ukweli ni kwamba anazidi kufumka kila kukicha.
“Sasa hivi naona kufanya mazoezi ni kujipa mwili, lakini siyo kupungua maana hadi tunageuka mabaunsa, ni bora tupunguze kwenye msosi,” alisema Kay.
Post By : DabestTz

No comments