Amber Lulu Aoga Matusi
MUUZA nyago machachari kwenye video mbalimbali za wanamuziki Bongo,
Lulu Eugen ‘Amber Lulu’, ambaye sasa amegeukia kwenye muziki wa Bongo
Fleva, amejikuta akioga mvua ya matusi baada ya kuweka picha kwenye
akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram iliyomuonesha maungo
yake ya siri.
Akizungumzia sakata hilo, Lulu alisema kuwa anawashangaa watu waliokurupuka kumtolea matusi hayo wakati yeye aliweka kwa kujifurahisha na kwamba hakuona tatizo kwani ni nguo ya kawaida japo inaangaza sana.
“Kwani pale tatizo ni nini? Watu wakiona nguo imekubana kidogo na inaonesha mambo basi ndiyo wanakushambuliaaa,” alisema Amber.
Post By: DabestTz

No comments